Asante kwa kutumia Jellyfin kwa Android! Kutumia Toleo la Seva ya Jellyfin lililotolewa hivi karibuni kunashauriwa kila wakati.

Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea blogu yetu katika jellyfin.org, au soma orodha kamili ya mabadiliko (changelog) kwenye GitHub.
